Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ulishawahi kukutana na watu wenye hasira muda wote? Wao muda mwingi wanautumia kutumia sauti kubwa katika kuelekeza watu na muda mwingine hawapatani na watu wengi? Wengine wanaamini kuwa hasira ni asili ya mtu lakini mimi naamini hasira ni udhaifu ambao tunajizoesha wenyewe na hatimaye tunashindwa kujiongoza kwa hilo
 
Kuna wakati hasira inaweza kukutawala na ukashindwa hata kujijua na ukaja kutambua kuwa ulikuwa na hasira baada ya matokeo. Wengine wanajiua, wanadhuru watu, wanaharibu vitu, na mpaka wengine afya yao inabadilika kutokana na hasira wanayoishikilia.
 
439635385_113694.jpg
 
Itazame kwanza hasira yako na jaribu kuichunguza imetokana na nini.

Kuna sababu mbalimbali ambazo zinaweza kupelekea hasira, mfano mtu amekutendea kitendo ambacho hujakipenda, Mara nyingi hasira hutokana na hali au kitendo ambacho kimeenda kinyume na tunavyopenda au tunavyotegemea.
 
Back
Top Bottom