Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aliyewahi kuwa Rais wa Ufaransa Sarkozy kupandishwa kizimbani kujibu tuhuma za ufisadi. Natamani siku hili liweze kutokea nchini ili mafisadi wote wakiwemo Mkapa na Kikwete na sharia kuachwa ichukue mkondo wake bila yoyote yule kutaka kupindisha.
 
Beautiful family wako busy kutafuta wanne ili wawe na wa kiume.
wakibak hvyo hvyo wakike, hao watoto wakija olewa, wazee wakafa... na hiyo familia inakua imefika mwsho, ndio maana wengine wanazaaga hata watoto 10 au zaid, awepo wakiume wakuendeleza familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…