Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Si BAK tu Mkuu mwenye frustration bali Watanzania wengi sana umewaona hata Maaskofu nao wamechoshwa na mwelekeo wa nchi yetu. Watanzania wengine wanashangilia Lissu kupigwa risasi, wengi wanashangilia viongozi wa Chadema kuwekwa ndani bila kosa lolote lile. Wafuasi wa Chadema wakipigwa mapanga na visu wanashangilia!!! Uadui unazidi kushamiri nchini tena kwa kasi ya kutisha sana Mkuu ni lazima tupambane. Msikilize Baba wa Taifa hapa na wosia wake aliotuachia. Kwanini mtu mmoja tu aruhusiwe kuleta chuki za kutisha nchini kiasi hiki? Hana hati miliki ya kusema atakavyo yeye basi iwe hivyo. Kama Watanzania hawaridhiki ni lazima apingwe kwa nguvu zote zile.

"Tujenge Utamaduni wa kuthibiti Viongozi wetu kama wanavunja sheria za nchi, TUSIOGOPE. Mkianza na mkiwa na woga I PROMISE YOU mtatawaliwa na dictators I PROMISE YOU mkiogopaogopa namna hii nyinyi Wabunge, nani wote na kusema Mzee wanakuwa wakali then you're making absolutely_____ that you'll be under a dictatorship." Baba wa Taifa.



Hahahaha, I understand your frustration mkuu.
 
Mie silipwi na yoyote yule na wala sina mpango wa kuchukua hata senti ya mtu na wapo wengi humu wa Chadema ambao mimi nawafahamu wanaandika kwa mapezi yao ya Tanzania na si kwa mapenzi ya pesa. Sihitaji kulipwa hata senti moja ili kukemea udhalimu na uozo unaoendelea nchini ambao sasa umesababisha hadi watu kupoteza uhai wao kisa chuki tu za kisiasa. Mie tunaongea na Malcom Lumumba sioni tatizo lolote la sisi kuongea yetu kupitia uzi huu.
Basi wapo pia wa ccm wanaoandika kwa mapenzi yao. Kusema kila mtu analipwa inashangaza,kila mtu yupo huru kuandika akitakacho

Ni kweli mnaongea na malcom ila baadhi ya maneno yana ukakasi kumuita rais kichaa haikubaliki
 
IMG_20180329_194621_713.jpg
 
What she means: How come Rene Descartes is only remembered as a philosopher, and the guy who said "I think therefore I am"? The Cartesian plane is NAMED after him and still only hard mathematicians know that he invented it. Also, the whole Newton/Leibniz argument completely ignores the fact that Descartes allowed both of them to discover calculus, because of his theories/ideas and invaluable work with exponents - he literally laid the foundations of calculus but no one mentions him when discussing who invented it. He even invented the modern notation of writing powers as superscripts as well as the convention of using x,y,z for variables and a,b,c for constants. Most importantly he INVENTED ANALYTIC GEOMETRY and pulled everyone's collective heads out of their collective asses. He was one of the greatest mathematicians. But yeah, a cool philosopher too, let's let "Cogito Ergo Sum" be his only legacy.
 
Back
Top Bottom