Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umeona ee ukisema unaonekana hupend maendeleo mara unashabikia wauaji. Kuna mwanasiasa yupi asie muuaji? Mauaji ya mwanafunz na wengineo mengi yamesababishwa na ukaidi wa wanasiasa wa upinzan ukiwauliza wanajitetea umwagaji dam ndio ukombozi. Kisha hao hao wanatumia kiki ya watu kuuwawa kuisingizia serikali maovu yao
Kila mmoja anapigania tumbo lake. Hakuna jipya kwa mwanasiasa ye yote wala mwanaharakati ye yote.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG-20180329-WA0012.jpg
 
Mie silipwi na yoyote yule na wala sina mpango wa kuchukua hata senti ya mtu na wapo wengi humu wa Chadema ambao mimi nawafahamu wanaandika kwa mapezi yao ya Tanzania na si kwa mapenzi ya pesa. Sihitaji kulipwa hata senti moja ili kukemea udhalimu na uozo unaoendelea nchini ambao sasa umesababisha hadi watu kupoteza uhai wao kisa chuki tu za kisiasa. Mie tunaongea na Malcom Lumumba sioni tatizo lolote la sisi kuongea yetu kupitia uzi huu.

BAK kila chama hasa ccm na cdm kina watu wake humu na kina walipa kumbuka wakati wa uchaguzi 2015 kuna watu walidakwa na polisi wakiwa wameweka kituo na kutoa matokeo wanayoyafahamu wao,wale wajuzi wa siasan wanawafahamu id zao baada ya kukamatwa tu wakapotea humu hata walipotoka polisi wakakacha ID zao.

All in all humu tunakula likes tu siasa zitatugawanya. UZI HUU TUKIUGEUZA UWANJA WA MALUMBANO YA KISIASA HATUTAFIKA MBALI
 
Back
Top Bottom