Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndefu sana Mkuu na kama ukiongeza siku mbili hapo za vacay basi unapata wiki nzima ya kujirusha. Hakuna pressure ya kulala mapema wala kuamka mapema kujieusha kwa raha zako. Ila masaa kwenye hizi long weekend yanakimbia sana si kama regular week days hahahahaha lol!

Weekend ndefu mno
Mambo ya pasaka
 
We acha tu Mkuu. Kabla hao buku 7 hawajamwaga humu ilikuwa hakuna matusi hapa JF ilikuwa ni nguvu ya hoja tu. Sasa wao walipewa maagizo kwamba matusi RUKHSA basi wakaanza kuyavurumisha kwa nguvu zote hadi wengine kuamua kucheza mbali na JF. Wako kiila kona siku hizi ili kufanya kazi buku 7 zao.
BAK kila chama hasa ccm na cdm kina watu wake humu na kina walipa kumbuka wakati wa uchaguzi 2015 kuna watu walidakwa na polisi wakiwa wameweka kituo na kutoa matokeo wanayoyafahamu wao,wale wajuzi wa siasan wanawafahamu id zao baada ya kukamatwa tu wakapotea humu hata walipotoka polisi wakakacha ID zao.

All in all humu tunakula likes tu siasa zitatugawanya. UZI HUU TUKIUGEUZA UWANJA WA MALUMBANO YA KISIASA HATUTAFIKA MBALI
 
Kumbe Binti mpole unafahamu siasa piah
 
Back
Top Bottom