Hahahahahahaha lol! unajua baada ya buku 7 kumwaga humu na MACCM kuweka bajeti maalum kwa hawa watu wasiojitambua ndiyo nikafunguka macho kumbe yanayoandikwa humu yanawagusa na kuwapa wakati mgumu.
Matusi kwangu mtihani.Be free tukana [emoji14] [emoji1]
Matusi kwangu mtihani.Be free tukana [emoji14] [emoji1]
Haya dada Numbisa kuwa mfano basi,Hisia/Hali za kuziepuka katika Kujitambua.
Ubinafsi +Wasiwasi
Tajiri wangu Pyro upooo ??Matusi kwangu mtihani.
Hahahahahaha, dah!
Naona Troll Army ya CCM imevamia hadi Twitter siku hizi.
Yaani kuna vitu nasomaga nabaki nacheka tu......!
Kabisa lowassa na mbowe hawatakosekana mahakaman piaAliyewahi kuwa Rais wa Ufaransa Sarkozy kupandishwa kizimbani kujibu tuhuma za ufisadi. Natamani siku hili liweze kutokea nchini ili mafisadi wote wakiwemo Mkapa na Kikwete na sharia kuachwa ichukue mkondo wake bila yoyote yule kutaka kupindisha.
Moto kama jehanamuuuu [emoji4] [emoji377]Mambo ni hiviii [emoji91][emoji91]
Haina kwere.... [emoji109]Matusi kwangu mtihani.
Balaaa.Moto kama jehanamuuuu [emoji4] [emoji377]
Siyo kidogo...Balaaa.
We acha tu Mkuu. Kabla hao buku 7 hawajamwaga humu ilikuwa hakuna matusi hapa JF ilikuwa ni nguvu ya hoja tu. Sasa wao walipewa maagizo kwamba matusi RUKHSA basi wakaanza kuyavurumisha kwa nguvu zote hadi wengine kuamua kucheza mbali na JF. Wako kiila kona siku hizi ili kufanya kazi buku 7 zao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya dada Numbisa kuwa mfano basi,
Naomba elfu kumi eeeh ???
😀😀😀😀😀
Cole Williams what up man![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]