Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

29402109_181036816026761_3825416848153772032_n.jpg
Ban loading
 
Waanaharakati uchwara wanapambana na wanasiasa uchwara wakishabikia mambo uchwara. Kuna mwanasiasa msafi Bongo? Tena hawa wanaojichacha wangwe hawa na kujiteka ili kupata kiki ndo hovyo kabisa !!!
Umeona ee ukisema unaonekana hupend maendeleo mara unashabikia wauaji. Kuna mwanasiasa yupi asie muuaji? Mauaji ya mwanafunz na wengineo mengi yamesababishwa na ukaidi wa wanasiasa wa upinzan ukiwauliza wanajitetea umwagaji dam ndio ukombozi. Kisha hao hao wanatumia kiki ya watu kuuwawa kuisingizia serikali maovu yao
 
Buddha akatabasamu na kumwambia,
"Upo sahihi. Na ni sawa na hasira yako. Kama ukiwa na hasira kwangu na sijajisikia vibaya wala kuharibu amani yangu ya moyoni basi hasira, chuki, na matusi yako yanabaki kwako. Wewe ndiye unayeshikilia hasira yako na sio mimi. Wewe nyiye unayeumia na hasira yako na sio mimi. Wewe ndiye ambaye hauna furaha, na sio mimi. Ulichofanya utakivuna matokeo yake wewe mwenyewe uliyetenda..." " Kama ukitaka kuacha kujiumiza kwa matendo yako, achilia hasira, chuki, hukumu, na ongeza upendo na amani. Unapochukia wenzio, wewe ndio unayekosa raha na sio wao. Na unapowapenda wengine wewe ndiye unayefurahia raha na amani ya upendo."
 
Mkuu labda kama angekuwa madarakani mtu mwenye akili timamu na mapenzi ya kweli kwa Tanzania na Watanzania lakini si huyu dhalimu. Laiti Mkapa na Kikwete wangemsikiliza Mama Magufuli basi hili balaa kubwa nchini wala lisingekuwepo la watu kutekwa, kuteswa, kupotea, kuuawa, na miili chungu nzima kuokotwa ufukweni huku Watanzania chungu nzima wakiishi kwa hofu kubwa na taharuki.

Nawakubali sana CHADEMA lakini inabidi wajipange upya,
Wanahitaji safu mpya ya viongozi watendaji ambao wanaona miaka 10 hadi 15 mbele.
Siasa za harakati inabidi waachane nazo kwa sasa waje na mikakati mipya ya jinsi ya kukabiliana na hizi Siasa za CCM.
Kuna vitu kama vitatu hivi CHADEMA wakivifanya basiii ni lazima CCM itakubali kukaa kwenye meza ya makubaliano..
Lakini kushindana kwa nguvu hasa kipindi hiki ambacho CCM iko kwenye Killing Spree itawagharimu sana....
Inabidi wabadilike aisee.....
 
Back
Top Bottom