[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Duh! Inakuwaje mtu unammwaga mrembo kama yule!? Labda alitaka kugegeda tu kisha kusepa. Hawa celebrities ndiyo zao hizo za kugegeda warembo wote wanaokatiza mbele ya himaya zao kisha wanateleza kama nyoka aliye mchangani.
Sijui limekiwaje rafiki na huyo Bundi...Haya Ma-German Shepherd yana roho mbaya sana!
Mziki wake siyo wa dunia hii...!
Waipenda?
Kama ni under 25 we ni andaeitini tu...Hahahahha! labda hao wengine, mie >18
Very TrueHappiness is a feeling not a place mkuu.
That's why some people live in the shacks, but you will always find a blossoming smile on their faces!
Hahahaha, mambo mengine ni magumu kuyaelezea tu!Sijui limekiwaje rafiki na huyo Bundi...
Halafu mi sjui cho chote kuhusu mbwa
Yeye amekuomba sababu ameona post yako kwamba hunaga tabia ya ubinafsiHahahaha kwan mie bank?
Ugali na mlenda wa limbe[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Leo umekula nini? Si kwa kujiamini huku [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Naona umevurugwa.Kivurugeeee [emoji444] [emoji441] [emoji14]
>35Kama ni under 25 we ni andaeitini tu...