Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mademu wa hivyo yaani hata siku ukimpata unakuwa na usongo wa kulipiza vingi kutokana na mateso aliyokupa na nyodo zisizo na mwisho....Mwenyewe anamsemo wake
Kama ipo ipo tu
Usongo gani tena broMademu wa hivyo yaani hata siku ukimpata unakuwa na usongo wa kulipiza vingi kutokana na mateso aliyokupa na nyodo zisizo na mwisho....
Si bora upige unawekea sumu kwenye maziwa yake ya azam. [emoji14]Kwamba unampiga ama?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hajanitongoza.
Kwa saa za Afrika Mashariki...!20:34
Nasi tunakuona [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 728905
Haahhaha! Umenishinda tabia.Si bora upige unawekea sumu kwenye maziwa yake ya azam. [emoji14]
Hahahhhhaaa! Mpaka kucheeUsongo gani tena bro
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Me natabia njema [emoji4] [emoji17] kesho naenda church...
TuombeeMe natabia njema [emoji4] [emoji17] kesho naenda church...
Nakuombea kwa mungu uwe mke mwema kwangu.... [emoji14] [emoji85]Tuombee
Eti hatuli nyama tunakula majani kama mbuzi. [emoji34]Jamani nimepita kuwasabahi....
Heheheheheheeeee!Nakuombea kwa mungu uwe mke mwema kwangu.... [emoji14] [emoji85]
Asante! KaribuJamani nimepita kuwasabahi....