Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,759
he he he heEti hatuli nyama tunakula majani kama mbuzi. [emoji34]
ila kitimoto ni ruksa, maana ni haramu tangu anaumbwa kwa hiyo kumla haiongezi wala kupunguza uharamu wake.
he he he heEti hatuli nyama tunakula majani kama mbuzi. [emoji34]
Jamani nimepita kuwasabahi....
Asanteh sana.Asante! Karibu
Amina ubarikiwe.Poa Mkuu uwe na usiku mwema na Pasaka njema.
Amina ubarikiwe.
Leo mkesha baa gani??
Au hukeshagi siku muhimu kama hizi
OkHapana Mkuu leo home tu na chupa yangu ya togwa na mahindi ya kuchoma.
Ok
Ok
Pasaka njema aiseeee
Ety Nini ..... ?? [emoji34]Asante! Karibu
So nyama hatuli je..?? demu unaruhusiwa kumla.... [emoji17] [emoji85]he he he he
ila kitimoto ni ruksa, maana ni haramu tangu anaumbwa kwa hiyo kumla haiongezi wala kupunguza uharamu wake.
Enheeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Numbisa, Pyaar na Jakitoo...
View attachment 728859
Nyooooo...!! Bila aibu ety nimekaribia umekaribia wapee..??,[emoji14] [emoji1] [emoji119]Asanteh sana.
Nimekaribia
Unaanzisha mgogoro sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeanzia kushoto/kulia?? hahaa
Hahahahaa! Nawe umeungana na Shimba.Enheeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asavali umeipata hii picha.Nimewatafuta sana hawa mabinti bila mafanikio...
Nasema mukuje weeenyewe huku kabla sija....
Haka ka nyimbo kamenikumbusha enzi zangu za ujana[emoji126][emoji126][emoji126]
Cole[emoji15] [emoji15] [emoji15] lini mimi nilisema buroo wako anataka ampe Numbisa aifoni eksi? Au kuna siku nilisema "muulize Andaeitini nae aliiona hiyo komenti"? Cole,Cole Coleee...Kwani mimi kukupa ww elfu kumi nitakuwa Bank
Au Bro anavyotaka akupe ifoni X yeye ni..... In andjul way