Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Kama kaanzia kulia/kushoto nafasi yangu yabaki pale pale.Unaanzisha mgogoro sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Kama kaanzia kulia/kushoto nafasi yangu yabaki pale pale.Unaanzisha mgogoro sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na aanguke chaliiiUshindwe na ulegee. Na yeye ashindwe na kulegea pia....
Mh! KweliFikiria UPENDO ulivyo na nguvu. Upendo huunganisha roho na nafsi za watu. Upendo ni gundi inayoziunganisha nafsi zetu.
Asante kwa neno.Utachukua mavi ya mtu, uwashe moto, uoke mkate, na kuula mbele ya watu.” Mwenyezi-Mungu aliniambia, “Hivyo ndivyo Waisraeli watakavyokula mkate wao unajisi wakiwa kati ya mataifa ninakowapeleka.” Ndipo nikamwambia, “Ee, Bwana Mwenyezi-Mungu, kamwe sijajitia najisi kwa kula kilichokufa chenyewe au kilichouawa na mnyama wa porini, wala sijapata kuonja nyama ya mnyama najisi tangu ujana wangu.” Kisha akaniambia, “Basi, nakuruhusu utumie mavi ya ng'ombe badala ya mavi ya mtu ili kuokea mkate wako.”
Ezekieli 4:12-15 BHN
Ezekieli 4:12-15 BHN; Utachukua mavi ya mtu, uwashe moto, uoke mkate, na kuula mbele ya watu.” Mwenyezi-Mungu aliniambia, “Hivyo ndivyo Waisraeli watakavyokula mkate wao unajisi wakiwa kati ya mataifa ninakowapeleka.” Ndipo nikamwambia, “Ee, Bwana Mwenyezi-Mungu, kamwe sijajitia najisi kwa kula kilichokufa chenyewe au kilichouawa na mnyama wa porini, wala sijapata kuonja nyama ya mnyama najisi tangu ujana wangu.” Kisha akaniambia, “Basi, nakuruhusu utumie mavi ya ng'ombe badala ya mavi ya mtu ili kuokea mkate wako.”
DaimaUpendo utawale