Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Miaka za zamani kulikwepo na mwanafalsafa mmoja aliyekuwa anaitwa Plato katika tamaduni za wagiriki. Naamini wengi wanamfahamu Plato kama mojawapo kati ya wanafalsafa wakubwa walioweza kufundisha mengi Ugiriki na maisha yake kuheshimiwa kutokana na utambuzi wake juu ya falsafa na maisha kwa ujumla.
 
Plato Aliwahi kuhadithia hadithi moja. Hadithi hiyo aliielezea kwa kufafanua maisha kwa ujumla yapoje na mwanadamu na ulimwengu.

"Fikiria pango ambalo ndani yake kuna watu wamefungwa tangu walipozaliwa na maisha yao wamefungwa ndani ya pango hilo.
 
Plato Aliwahi kuhadithia hadithi moja. Hadithi hiyo aliielezea kwa kufafanua maisha kwa ujumla yapoje na mwanadamu na ulimwengu.

"Fikiria pango ambalo ndani yake kuna watu wamefungwa tangu walipozaliwa na maisha yao wamefungwa ndani ya pango hilo.
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] Jakitoo ni mkunaji mzuri sana...hata Shimba anamsifia kwa ukunaji kwenye nyimbo
Jizazi...[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Na katika kufungwa kwao wamelazimishwa kutazama ukuta uliokuwa mbele yao. Watu hao wamefungwa shingoni na nyuma na wala hawawezi kugeuka nyuma kutazama kilichopo nyuma lakini maisha yao wamekuwa wakitazama mbele tu na wameshazoea na hawafahamu tena kama kuna kugeuka nyuma.
 
Nyuma yao kuna moto unawaka. Na katikati ya moto ule unaowaka muda wote na pango wafungwa walipo kuna barabara inayopita kwa juu. Na fikiria kila siku kuna watu mbalimbali wanaopita kwani barabara ile ilikuwa inakwenda sokoni. Wanapita watu wa aina mbalimbali, mizigo na wanyama au mifugo. Vivuli vyao vinaonekana kwenye ukuta ambao wale wafungwa wanautazama muda wote na kutengeneza aina mbalimbali za vivuli vinavyopita na vinaonekana ni vikubwa na wao hawafahamu chochote kuhusu kilichopo nyuma yao na moto ule una mwanga hafifu unaotengeneza vivuli vya vitu na watu wanaopita kwenye barabara iliyopo katikati ya mwanga wa moto na kuelekea kwenye pango la wafungwa.
 
Fikiria maisha yao yote wao wanaona hicho ni kitu cha kawaida na hiyo ndio dunia yao. Maisha yao yote wanazaliwa wapo kwenye pango na mpaka wanakufa wao wanatazama projection ile tu na hawajui lolote mpaka wanamaliza maisha yao Vizazi na vizazi zinapita na kuona hiyo ni kawaida. Vivuli, sauti za wapita njia, sauti ya moto unawaka lakini hawajui vinapotoka bali hujua vile vivuli ndio chanzo.
 
Usiku wa baridi na mawingu
Kila mtu na mtue
Muona raha ni nani[emoji445][emoji441] mkun@ na mkunw@ji [emoji441][emoji445]
Weee mzee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulianza na....baridi... mara oooh...ntu na ntu...ghafla umehamia kwa nkuna na nkunwaji...
Sasa tukueleweje jiraniii...
Sisi na wewe ni kitu kimojaa...
Haina maana kugombana[emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443]
 
IMG-20180329-WA0035.jpg
 
Back
Top Bottom