Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Maana mmekuwa kama mmepatwa kwa pamoja.Tunasifia uumbaji...
Hahahaha!! Kuwa makini tusije tukakusahau humu kwa muda.Mie nawaza kujirusha sana kwenye Pasaka hii.
Hahahahaha! Wanajuta kupishana na raha.hahahahahaha lol! Wakiona wenzao ambao lips hazining'inii bila ya shaka wanajuta!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Puresha mama...pureshaaa...... Wanachamba haooooo,anaweza kumchamba hata mama mzazi japo ni marehemu.
Ole wake mwanaume awe ni wa kigugumizi,atajuta[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]