Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,759
Asanteeeh...
Asanteeeh...
Fikiria mfungwa yule aliyefunguliwa akaamua kurudi kuwajulisha wenzie kuwa kuna dunia tofauti na hiyo, endapo akirudi kwa pale barabarani kwa juu na kuwaambia kuwa "Jamani geukeni" wenziye hawatamuelewa. Watabaki kushangaa kuwa wanasikia sauti lakini hawajui imetoka wapi kwani wanatazama mbele na pia watabakia kuona kivuli cha lijitu au kitu kikubwa kipo kwenye ukuta wanaoutazama na hawatafahamu wanaambiwa nini na nani.
Puresha mama...pureshaaa...... Wanachamba haooooo,anaweza kumchamba hata mama mzazi japo ni marehemu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sauti yake itakuwa kama makelele, kivuli chake kitakuwa kama kinawakera muonekano wake au kitakuwa kinawachanganya kufahamu ni jitu gani hilo limetengeneza kivuli kwani hawawezi kugeuka nyuma wala hawafahamu kuna kugeuka nyuma.

Hahahahaha carba hakosekan hapoEnheeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asavali umeipata hii picha.Nimewatafuta sana hawa mabinti bila mafanikio...
Nasema mukuje weeenyewe huku kabla sija....
usiku unapwayaUsiku unakua mkubwa
Na pia endapo akipewa nafasi hata kushuka kwenye pango chini na kuongea na watamuona kama amechanganyikiwa kwa ambayo atakuwa anawaeleza kwani wao hawakutegemea kabisa. Pia itawachukua muda na wao kuzoea mwanga wa nje kwani walizoea giza. Na inaweza kupelekea hata wakamuona yeye ni tofauti na wao na kumshangaa au kumtukuza
VitawaleAmani na upendo

MAANA.
Mpaka leo limebaki kuwa ni fumbo japokuwa wengi wamekuwa wakijaribu kutafsiri Plato alikuwa anamaanisha nini alipokuwa akielezea uhalisia wa mwanadamu. Fumbo hilo kila mmoja anaweza kulifikiria kivyake na kujitahidi kujitoa katika pango na kuweza kujitambua zaidi.

Hahahaha!