Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wengi wanapoamka asubuhi kuanza kujiandaa na shughuli zao mbalimbali. Mfano kama ni mwanafunzi anajiandaa kwenda shule na kama ni mfanyakazi naye anajiandaa kwenda kazini.
 
IMG-20180329-WA0028.jpg
 
Mzunguko huu huishia pale mtu anaporudi nyumbani, anapumzika labda kwa kutazama Television, au anasikiliza redio, au unaposhiriki maongezi mbalimbali na mwisho siku inaisha unapolala. Gurudumu hili litaendelea hapo kesho yake na kama siku ya kesho ni tofauti labda ni siku ya weekend basi kunakuwa na gurudumu lingine la mfumo wa kuifanya siku ipite.
 
Sisi binadamu hovyo sana aisee. Nilikuwa kwa daktari hapa nikifanya check up ya moyo. Moyo kumbe una sauti tofauti tofauti kulingana na mlalo. Basi dokta ananisikilizishia milio mbalimbali huku mwenyewe wala sina raha. Moyo - pump ya ajabu yenye nguvu inayosukuma damu huku ikizalisha umeme. Na siku pampu hii ikizimika basi na sisi tunanyamaza kimya na kwenda zetu. I am humbled you know. Asante Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mzunguko huu huishia pale mtu anaporudi nyumbani, anapumzika labda kwa kutazama Television, au anasikiliza redio, au unaposhiriki maongezi mbalimbali na mwisho siku inaisha unapolala. Gurudumu hili litaendelea hapo kesho yake na kama siku ya kesho ni tofauti labda ni siku ya weekend basi kunakuwa na gurudumu lingine la mfumo wa kuifanya siku ipite.
 
Inapaswa kutenga muda ambao utakuwa huru, hautaingiliwa na mtu katika mazungumzo ya muda mrefu, au hautapata usumbufu wowote. Muda huu utakuwa unajitafakari vyema. Unaweza ukawa unajitafakari kwa;
Kutafakari siku ilivyoenda/inavyoenda,
Kutumia nafasi kupumzisha akili,
Kujitafakari
 
MAANA.

Mpaka leo limebaki kuwa ni fumbo japokuwa wengi wamekuwa wakijaribu kutafsiri Plato alikuwa anamaanisha nini alipokuwa akielezea uhalisia wa mwanadamu. Fumbo hilo kila mmoja anaweza kulifikiria kivyake na kujitahidi kujitoa katika pango na kuweza kujitambua zaidi.
Makamanda watasema hilo pango ni CCM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sorry kuingiza matani ya siasa lakini uko sahihi. Tasnifu za uzamivu maelfu zimeshaandikwa kuhusu Allegory hii na kila mmoja anasema lwake japo wengi wanaamini kuwa pengine Plato alikuwa anaongelea maisha na/au maarifa. Kuna watu wanaoamini kuwa maisha haya tunayoishi ni kivuli tu cha uhalisia wenyewe. Maarifa hali kadhalika. Ati, ni kweli tunajua tukijuacho au tukijuacho ni mwanga hafifu tu wa kile tunachopaswa kukijua? Yawezekana wote tuko pangoni.....
 
Kujitafakari.

Kujitafakari ni kujiangalia kwa kina, kujitazama matendo yako yanavyoenda, kujitazama maneno yako na vitendo vyako vinavyoenda. Katika kujitafakari unaweza ukajitafakari jana ulikuwaje na leo umebadilikije. NI vyema kutumia kila siku kujirekebisha na kuondoa mizizi ya uovu inayokutawala.
 
Back
Top Bottom