Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama wewe unafahamu kuwa udhaifu wako ni ulevi basi unajitafakari kwa kujiuliza "Kati ya jana na leo, je umejitahidi kujitawala?", na kama hujajitahidi utajiuliza ni kwanini, lazima ufahamu sababu. Na kama umejitahidi basi ni vyema kujipongeza na kujitahidi zaidi yapo kesho. Lengo ni kuhakikisha kila siku unajibadilisha. Unajibadilisha kwa kufuata mema na kuacha mabaya, pia unajibadilisha kuwa kuendeleza mema ambayo tayari umeyapanda.
 
29415999_382347618910767_6043401825971863552_n.jpg
Kakimbaumbau haka lakini kana mamiguu ya kufa mtu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Badala ya kupoteza muda kufanya majukumu, kujenga n.k wakati vyote hivi vinapita na tunaviacha hapa duniani tunapaswa kufahamu kuwa lengo la maisha ni kujitambua. Unapojitambua utabadilisha mabaya yote na kuhakikisha unajiweka imara katika matendo, mawazo na maneno sahihi.
 
Nimemuona kwenye BBC. Wote kwenye gari ilibidi wawe kimyaa hakuna kutikisika. Katoto ka Cheetah kanawachezea na mama cheetah yupo dirishani anaangalia kwa uangalifu. Itabidi wakatambike na wanamshukuru sana guide wao kwa kuwashauri kuwa kimya kabisa kama maji ya mtungini....
 
Back
Top Bottom