Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
Kujitafakari.

Kujitafakari ni kujiangalia kwa kina, kujitazama matendo yako yanavyoenda, kujitazama maneno yako na vitendo vyako vinavyoenda. Katika kujitafakari unaweza ukajitafakari jana ulikuwaje na leo umebadilikije. NI vyema kutumia kila siku kujirekebisha na kuondoa mizizi ya uovu inayokutawala. Kama wewe unafahamu kuwa udhaifu wako ni ulevi basi unajitafakari kwa kujiuliza "Kati ya jana na leo, je umejitahidi kujitawala?",
 
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…