Kujitafakari.
Kujitafakari ni kujiangalia kwa kina, kujitazama matendo yako yanavyoenda, kujitazama maneno yako na vitendo vyako vinavyoenda. Katika kujitafakari unaweza ukajitafakari jana ulikuwaje na leo umebadilikije. NI vyema kutumia kila siku kujirekebisha na kuondoa mizizi ya uovu inayokutawala. Kama wewe unafahamu kuwa udhaifu wako ni ulevi basi unajitafakari kwa kujiuliza "Kati ya jana na leo, je umejitahidi kujitawala?",
Utakatifu wa kupewa na binadamu wenzio ni kazi bure [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Mchakato wa kanisa katoliki kumfanya mtakatifu wako sahihi
na kama hujajitahidi utajiuliza ni kwanini, lazima ufahamu sababu. Na kama umejitahidi basi ni vyema kujipongeza na kujitahidi zaidi yapo kesho. Lengo ni kuhakikisha kila siku unajibadilisha. Unajibadilisha kwa kufuata mema na kuacha mabaya, pia unajibadilisha kuwa kuendeleza mema ambayo tayari umeyapanda.

Kamanda Kakobe would like to differ...Naliombea sana hilo litokee Mkuu. Ni mtakatifu huyu.
Mimi na wewe ni kitu kimojaaaa haina maana ohoo haina maana kudanganyana,mimi na wewe wasema ukweli in andjul voiceUtakatifu wa kupewa na binadamu wenzio ni kazi bure [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Kamanda Kakobe would like to differ...