Elimu ya nguvu za Imani, conscious mind na subconscious mind. Imani ni daraja linalounganisha wazo/tamaa/desire/thoughts na Subconscious Mind. Kwa kifupi akili imegawanyika pande mbili. Conscious na Subconscious.

Hahahahaa! Ni shida kweli si kidogoHuu uandaeitini ni shida. Yaani hapo sijaelewa kitu, ulikuwa na maana gani hapo my ticha? [emoji1]
Ijumaa Kuu Njema mkuu...Huu uandaeitini ni shida. Yaani hapo sijaelewa kitu, ulikuwa na maana gani hapo my ticha? [emoji1]
😀 😀 😀 😀 YaaniNgumu kumesaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulimaanisha nini?Dah! Sasa hiki kitovu kina nini Wakuu?
Hahahahahaha lol! ulikuwa wapi Mkuu. Hujaonekana kitaa karibu siku tatu sasa, au nakosea? Heri ya Pasaka Mkuu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sawa mkuu. Nilikuwa nakutania tu, as usual. Umeshasema kuwa ulishapambana na kila aina ya watema kuni hivyo hata aje mtema kuni wa aina gani hakubabaishi. Siwezi kukubishia !!!
Kazi ya Conscious mind ni kutumia milango ya ufahamu kama macho, masikio, pua n.k kuisoma dunia inayotuzunguka, pia ndio sehemu wanadamu wengi hutumia katika maisha yao. Ni asilimia 7% ya ufahamu/mind. Sehemu hii inahukumu vitu kutokana na imani na milango ya ufahamu Haiwezi kufikiria zaidi ya hapo. Sehemu ya puli ni Subconscious mind. Hii ndio sehemu kubwa ya ubongo na ndipo maajabu yalipo.

Hahahahaa! Nakupa ushauriUmeanza..!!!

Dah !!!Ni watoto wa mama mkubwa ambako mama mdogo(mdogo wa mama ameolewa) na mzalishaji ni mwenye nafasi yake kwenye utumishi.
Hayafichiki kwa sababu brother anajulikana mtaani kuwa hawezi kitu...
AsanteSiyo kuliwa. Ni kuingiliwa....