Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Hahahaa! Mistari ipi?Mistari ataleta Pyaar
Hahahaa! Mistari ipi?Mistari ataleta Pyaar
Si kwa kutwangwa kule japo wengine wakistaafu huwa wanaolewa na kutulia na familia zao. Na waoaji wanajua kila kitu.Wenyewe wanasema wanaigiza na ni kazi kama kazi nyingine aiseee
Unataka mistri ya Kijita na Kikerewe ama?Mistari ataleta Pyaar
Goodnight mkuu...Good night wapendwa
Jizazi kirasti[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] mbunye siku ya leoooo? Hebu lala hata kama umetoka kuamka...No! It gets worse. Kitimoto nasukumizia na wine. Nyama nakula. Na kulewa nalewa. Mbunye tu ndo haipo otherwise ningekuwa na perfect trifecta...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Wala hunifanyi loloteBahati yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo kuliwa. Ni kuingiliwa....Wanaigiza ndiyo, lakini si wanaliwa kiukwe li.
Mbona mapema?Good night wapendwa
Umeanza..!!!Achana na hayo mabua, tafuta kinachotafunika kwa amani ufurahie.
Thank youSafi kabisa happy Easter in advance
Bila ya shaka huyu mtarajiwa ni ME
![]()
jordinsparksI was having a good time trying on dresses to fit my bump and then realized I had to tie my shoes. Look at my face! lol Never thought that would be something I'd struggle doing! Mamas, what was something you took for granted? I'll do another one...breathing. [HASHTAG]#bumpin[/HASHTAG] [HASHTAG]#psalm37four[/HASHTAG] [HASHTAG]#3rdtrimester[/HASHTAG]
Ushauri mzuri mkuu. Nalala !!!Jizazi kirasti[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] mbunye siku ya leoooo? Hebu lala hata kama umetoka kuamka...
Night Man, Vaya Con Dios...!Good night wapendwa
Mmmh kazi kweli kweliSi kwa kutwangwa kule japo wengine wakistaafu huwa wanaolewa na kutulia na familia zao. Na waoaji wanajua kila kitu.
Elimu hizo za muhimu ambazo ni elimu zinazoweza kukusaidia kuelewa siri za ulimwengu na mambo ambayo wanadamu wachache wameweza kuzitambua. Lakini tambua kuwa, kama unajua elimu hizo au kama haujui elimu na laws zake bado zitakuwepo tu. Mfano ukiruka kwenye gorofa hata kama hujui kuwa kuna nguvu ya mvutano (gravity) utatua tu chini na kuumia. Ni sawa na elimu hizi. Uwe unazijua au usipozijua bado zinafanya kazi kila wakati. Hivyo ni muhimu kuzijua ili uweze kuziongoza na kubadili maisha yako. Nazo ni