Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hiyo ndo maneno sasa. Fungu kama lipo si ajabu litakuwa kwenye mambo ya Walawi au Kumbukumbu la Torati...Hapana nami nilikuwa nauliza swali maana sijaona Leo tunagonga Nyama na majackDaniel kama kawaida
Inasemekana hii ya kutokula nyama ilianzishwa na Waroma ili kuwafanya watu wale samaki. Ilikuwa ni mbinu ya kuwasaidia wavuvi na kuimarisha fishing industry enzi zile..