Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jaribio la Kupima Uwezo wa Kutambua Badiliko la Haraka.
Utafiti mwingine maarufu katika historia uliowahi kufanyika; utafiti huo uliwagusa wanafunzi wa vyuo. Ulifanyika kwa mtafiti kumfuata mwanafunzi akiwa njiani na kumuuliza swali kisha anapita mtafiti mwingine kati kati yao akiwa amebeba ubao na wanabadilishana bila yule mwanafunzi kujua kuwa aliyekuwa anamuuliza swali amebadilika.