BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Basi nisamehe bureAgain, Ushindwe na ulegee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alegee wapi chini au juu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Again, Ushindwe na ulegee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe mkuu. Japo nipo peke yangu lakini naamini kabisa pasaka itakuwa safi kabisa. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hahahahaha pasaka njema sana mkuu ujumbe mzuri
Samahani mkuu.Hitimisho lako halina mashiko...
Hodii humu
Halafu unaniona kadogo eeh ?Kaone !!!
Hahahaha! Kazi zipo za aina nyingi mkuu.Dah! Uko job Mkuu?
Amina Muhimu kumuomba mwenyezi kuwa wazima na salamaNa wewe mkuu. Japo nipo peke yangu lakini naamini kabisa pasaka itakuwa safi kabisa. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wakikilewesha pombe dawa haitafanya kazi. Si kanachovya tu mara moja na kutoa au dawa inataka ni lazima kapige vitako kadhaa? Mama si anaweza kujifanya kasinzia halafu anakatrick tu? Au dadi naye anaweza kusaidia hapo kidogo...They have to be creative...Ila kwa miaka 6 atakumbuka sana..Labda wakileweshe pombe kilewe kisijielewe ndo wafanye hivyo.