Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahahaha lol! kumbe ndiyo sababu ya kuuliza swwali lako eh!
No! It gets worse. Kitimoto nasukumizia na wine. Nyama nakula. Na kulewa nalewa. Mbunye tu ndo haipo otherwise ningekuwa na perfect trifecta...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Hahahahahahahaha lol! Eti Mbunye tu ndiyo haipo. Hakuna Mbunye za kuorder Mkuu?

No! It gets worse. Kitimoto nasukumizia na wine. Nyama nakula. Na kulewa nalewa. Mbunye tu ndo haipo otherwise ningekuwa na perfect trifecta...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
AMEN MKUU. U mtu mwema na mvumilivu sana mkuu. Sijawahi kukuona ukitukanana na mtu humu hata mafisi ya CCM yakikukorofisha namna gani. Utamwaga kicheko tu na kwenda zako. Mungu Aendelee kukupa uvumilivu huo na hakikisha unaurithisha kwa vijana wako ili wakawe nao katika nyanja zote. Utawasaidia sana katika maisha yao !!!
Hahahahaha! Itakuwa hasira zake anazimaliza kwa kulia peke yake chumbani.
 
IMG_20180330_223601_981.jpg
 
Back
Top Bottom