Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alegee wapi chini au juu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chini ingependeza zaidi japo amri zote za kulegea zinatoka juu [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Amina Muhimu kumuomba mwenyezi kuwa wazima na salama
AMEN MKUU. U mtu mwema na mvumilivu sana mkuu. Sijawahi kukuona ukitukanana na mtu humu hata mafisi ya CCM yakikukorofisha namna gani. Utamwaga kicheko tu na kwenda zako. Mungu Aendelee kukupa uvumilivu huo na hakikisha unaurithisha kwa vijana wako ili wakawe nao katika nyanja zote. Utawasaidia sana katika maisha yao !!!
 
Vya mtemakuni nilisha viona vingi, cha kwako kitakuwa nyongeza tu[emoji28][emoji28]
Jizazi [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Back
Top Bottom