Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Kuchuna ngozi, kupiga nondo, uchawi, bangi vyote vyao...Mbona pia wanasifika kwa Uchawi na huko huko Mbeya kuna vituko vingi tu vya kushangaza mf. watu kuchunwa ngozi ....
Kuchuna ngozi, kupiga nondo, uchawi, bangi vyote vyao...Mbona pia wanasifika kwa Uchawi na huko huko Mbeya kuna vituko vingi tu vya kushangaza mf. watu kuchunwa ngozi ....
Amen mkuu sikukuu njema kwakoNjema kabisa mkuu. Naona leo Forex zimekuachia kidogo. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ooh! Kumbe huyu ndo mwenyewe eeh?Ukerewe. Huyu ndiye Mkerewe orijino sasa achana na kale kanafunzi kako kaoga.
HahahahahaKuchuna ngozi, kupiga nondo, uchawi, bangi vyote vyao...
Na makanisa mengi kila kona?Kuchuna ngozi, kupiga nondo, uchawi, bangi vyote vyao...
Polee, yakikuzidia uwe unaomba msaada.Nipo aisee majukumu ndio shida
Na kwako pia. Mungu Aendelee kutulinda sisi na wapendwa wetu !!!Amen mkuu sikukuu njema kwako
Jaribu kile cha ndani kabisa uone....Ooh! Kumbe huyu ndo mwenyewe eeh?
Wanaepuka kula nyama.Bia na matikitimaji; na maparachichi zinashuka kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 729507
Kulewa na kula nyama Ijumaa Kuu kipi kibaya ya chengine?Wanaepuka kula nyama.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] , siku moja sio mbaya.
Hapo sio kuimba bali ni kuamini(Imani) wanacho kiamini.Wanaimba hao, kila baada ya nyumba mbili kuna kanisa..Hongereni kwa hilo.
IndeedTuwe na Sikukuu njema wote
Ni vema na ni hakiNa kwako pia. Mungu Aendelee kutulinda sisi na wapendwa wetu !!!