Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

C3ADE60D-D0D3-4A87-9AFA-D8554896F42F.jpeg
 
Mkuu unataka kusema nijisikie vibaya kuwa mnyakyusa? Kisa rangi ya ngozi?

Mafanikio(kitu cha kujivunia) ya wanyakyusa ni kuimba tu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haki ya Mungu...
Wanaimba hao, kila baada ya nyumba mbili kuna kanisa..Hongereni kwa hilo.
 
Usijali mkuu,utani ndio mahali pake hapa...
Kabila lenyewe limekaa kutaniwa muda wote...

Rangi ya ngozi kuwa nyeusi nadhani itakuwa hali ya hewa,maana ukanda wote wa ziwa nyasa (Konde,Malawi na Mchinga-Msumbiji) na eneo dogo la Zambia wameathirika na hali hiyo.Walio bahatika kidogo ni wale Wasena wa Mlanje na wa kusini mwa jimbo la Natete Msumbiji.
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom