andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mkuu kwema? Mungu ni mwema kwa kweliGood Friday mkuu
Mkuu kwema? Mungu ni mwema kwa kweliGood Friday mkuu
Mkuu unataka kusema nijisikie vibaya kuwa mnyakyusa? Kisa rangi ya ngozi?Hahahaha Mkuu nawe Mnyakyusa ??
Bwahahaha, Ila wanaimbaaaaaa hawa jamaa Yikes!
Sidhani kama kuna kabila linawafikia!
Mkuu unataka kusema nijisikie vibaya kuwa mnyakyusa? Kisa rangi ya ngozi?
Mafanikio(kitu cha kujivunia) ya wanyakyusa ni kuimba tu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haki ya Mungu...
Saa moja nitakuwa hapo penda sana live bandOooh waoooh karibu sana Rainbow kijiwe kitamu sanaaa weekend hii
AminaHahahaha thanks mkuu na kwako pia.....
Kuna kashfa kubwa sana Juu ya mchoro wa picha ya yesu najaribu kufuatilia nitakujuza
Amun Ra
Long weekend full kujiachiaSafii sna weekend bata batani
Yesu kristo
Kwema kabisa nipo Dodoma kwa ajili ya EasterMkuu kwema? Mungu ni mwema kwa kweli
Usijali mkuu,utani ndio mahali pake hapa...Hapana usinielewe vibaya kabisa mkuu,
Nilikuwa kwenye utani...Halafu Wanyakyusa mbona wamefanikiwa sana tu.
Fuatilia historia vizuri au nenda Jeshini Jwtz au nje ya nchi ukajioneee walivyojaa.
Jambo la kheri. Nimesha rudi DarKwema kabisa nipo Dodoma kwa ajili ya Easter
Mkombozi wetu!Yesu kristo
IndeedAmun Ra
OkKuna kashfa kubwa sana Juu ya mchoro wa picha ya yesu najaribu kufuatilia nitakujuza
AsanteAnhaaaa, I see.
Basi sijazisoma mkuu, nimeziona chache ambazo zinazungumza sana kuhusu Ethiopia na Egypt.
Lakini Kush kama Kush zijazipata ngoja nizitafute wiki ijayo kama ntapata muda...