mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu habari za Ijumaa kuu
Mkuu habari za Ijumaa kuu
Nipo aisee majukumu ndio shidaUlipotelea wapi?
Ukerewe. Huyu ndiye Mkerewe orijino sasa achana na kale kanafunzi kako kaoga.Ulipotelea wapi?
Mbona pia wanasifika kwa Uchawi na huko huko Mbeya kuna vituko vingi tu vya kushangaza mf. watu kuchunwa ngozi ....Kweli kabisa makanisa mengi yapo Mbeya
Njema kabisa mkuu. Naona leo Forex zimekuachia kidogo. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mkuu habari za Ijumaa kuu