Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh!
Screenshot_2018-03-30-16-29-03-1.jpg
 
Mbona pia wanasifika kwa Uchawi na huko huko Mbeya kuna vituko vingi tu vya kushangaza mf. watu kuchunwa ngozi ....
Ukubwa wa kabila huchangia kulikuza jambo,rejea matukio kama kuuliwa kwa watu wenye vipara,kuuliwa kwa wazee wenye macho mekundu,kuuliwa kwa albino n.k. makabila yanayo wazunguka yaliathirika na matukio hayo
 
Kulewa na kula nyama Ijumaa Kuu kipi kibaya ya chengine?
Pombe kama pombe imekatazwa kwa baadhi ya madhehebu.

Lakini baadhi ya madhehebu pombe yaruhusiwa ila kwa kiasi (Usilewe)

Vile vile kwa upande wa ulaji nyama siku ya ijumaa kuna baadhi ya madhehebu (mfano.dhehebu langu) tunakula bila shida. Na baadhi ya madhehebu hawali nyama siku ya ijumaa, mfano. RC.

Hivyo wanaokunywa pombe + matunda kuna uwezekano mkubwa ni hao wa dhehebu linaloruhusu pombe...
 
Back
Top Bottom