Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,364
- 60,495
.Russia na America naoana kutachimbika muda si mrefu
.Russia na America naoana kutachimbika muda si mrefu
HatarHahahahaha chopa za kirusi dah
Oooh waoooh karibu sana Rainbow kijiwe kitamu sanaaa weekend hiiI'm back Stella Nkuhungu now
Hahahaha Mkuu nawe Mnyakyusa ??Weusi ni asili yetu.Weupe wapo lakini ni wachache sanaView attachment 729430
Hahahaha thanks mkuu na kwako pia.....Hahahahaha Have a Good friday Mkuu
Ni kweli wanawake ni wazalishaji tangu enzi na enzi.Kweli kabisa.
Ukioa/kuolewa kwao wanakuona kama kaka/dada kwao,, vile vile hawana aibu kabisa.
Wanawake wa kinyakyusa ndo wanasimamia familia zao (uchumi), wanaume wa kinyakyusa wengi wao wavivu/wazembe sana.
Halafu wana mila yao moja hivi, mkwe wa kike haruhusiwi kuonana na baba mkwe..Kama ni salamu sauti tu ndo zitakazosikika.
Kwa bahati mbaya ikitokea wakakutana uso kwa uso, mkwe atakimbilia kujificha ili kumpisha baba mkwe.
Sio ajabu miaka 10 kukatika hamjui baba mkwe anafananaje zaidi ya kusikia tu sauti yake.
Kwao kula na kuvaa ndo fahari.
Safii sna weekend bata bataniHakuna kulewa hapo mpka majogoo