MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
he he h e heMashemeji zangu Wanyakyusa bwana.
Huwa wananifurahishaga swagger zao
Hahahaha! Mie sio Mnyakyusa bwana, huyo Bilionea kaniuliza maswali ambayo tayari majibu anayo.Wewe Shemeji yangu bwanaa!
Nimeishi nao kidogo naweza sema nawafahamu vizuri hawa ndugu zangu....he he h e he
Kwa hiyo Ulinidanganya ???Hahahaha! Mie sio Mnyakyusa bwana, huyo Bilionea kaniuliza maswali ambayo tayari majibu anayo.
Kila mtu na imani yake!You are a Spirit living in a body,
A soul is a buffer zone between Body and Spirit.
Soul contains Mind, Will and Emotions.....(That's why its very attached to a body)
Umenikumbusha mbali sana kuna darasa fulani ulizukaga huu mjadala mzitooo......!
He he he heKwa hiyo Ulinidanganya ???
Duuuh you are cold blooded!....
Anhaaa basi sawa mkuu.Kila mtu na imani yake!
Na anacho amini ndicho kitakacho kuwa kwake!
Kweli kabisa.Nyakyusa Women are very hard working and kind japo wanapenda sana Ubabe!
Wako open minded sana japo hawana breki mdomoni teh teh teh teh..
Ukioa kwao hesabu kwamba ndiyo umeingia kwenye familia hivyoo, mashemeji watakuchukulia kama Kaka yao mkubwa.
Wakiwa na tatizo la kifamilia wala hawatakuficha watakwambia kwa uwazi kabisaa. Mwisho kabisaa wanapenda sana watoto wao, huwezi kuta mwanamke wa kinyakyusa kazaa mtoto wake halafu kamtupa hata wajomba na mama mkubwa huwa hawawezi waacha kabisa (wachache sana huwa wanafanya hivi hasa hawa wa siku hizi). Hawana tofauti kubwa sana na Wahaya hasa kwenye kupenda Masifaaa...!!!!!
[emoji38][emoji38][emoji38]He he he he
Mtu ameamua kujikana mara tatu hivi hivi, hata kabla ya jogoo kuwika
Hahahahaaa!! LikurudieKwa hiyo Ulinidanganya ???
Duuuh you are cold blooded!....
Heeee!!!!Kinyankole ndio lugha ya wanyakyusa au??
Ndo nakisikia leo.
Kwa bahati mbaya ikitokea wakakutana uso kwa uso, mkwe atakimbilia kujificha ili kumpisha baba mkwe.
Sio ajabu miaka 10 kukatika hamjui baba mkwe anafananaje zaidi ya kusikia tu sauti yake.
Kwao kula na kuvaa ndo fahari.
Wewe lilikae kabisaaa!Hahahahaaa!! Likurudie
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nashukuru kwa kutambua mchango wangu katika furaha yako ya leo.Hahahaha umenifurahisha sana leo,
Nimepata majungu mapya....!
😀😀😀😀😀
Na wewe ni Mnyakyusa ???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]