Na wewe ni Mnyakyusa ???Ndiyo, ni lugha ya wanyakyusa
Usinichoshe bwana.
he he he heNdiyo, ni lugha ya wanyakyusa
Usinichoshe bwana.
MuulizeNa wewe ni Mnyakyusa ???
Mashemeji zangu Wanyakyusa bwana.Muulize
Muulize
HAHAJamaaaani....We kaka una roho nzuriiii......Yani unanipa likes kabisa...Waaaaooow......Nnavyotupendaga tulikes sasa...Haya nshacomment
Hahahaha! Zipoje?Mashemeji zangu Wanyakyusa bwana.
Huwa wananifurahishaga swagger zao
Hapana mie robothe he he he
na wewe kumbe unachokaga aseeee
Ndiyo MalcomNa wewe ni Mnyakyusa ???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nawewe umeamua kupigilia msumali palepale [emoji23][emoji23]Na wewe ni Mnyakyusa ???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujakosea kumtumia Madenge kwa avatar yako.Muulize
Muulize