Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4A152EDB-6C60-4AC0-8716-58FAF5C85FA0.jpeg
 
Hahahaha! Zipoje?
Nyakyusa Women are very hard working and kind japo wanapenda sana Ubabe!
Wako open minded sana japo hawana breki mdomoni teh teh teh teh..
Ukioa kwao hesabu kwamba ndiyo umeingia kwenye familia hivyoo, mashemeji watakuchukulia kama Kaka yao mkubwa.

Wakiwa na tatizo la kifamilia wala hawatakuficha watakwambia kwa uwazi kabisaa. Mwisho kabisaa wanapenda sana watoto wao, huwezi kuta mwanamke wa kinyakyusa kazaa mtoto wake halafu kamtupa hata wajomba na mama mkubwa huwa hawawezi waacha kabisa (wachache sana huwa wanafanya hivi hasa hawa wa siku hizi). Hawana tofauti kubwa sana na Wahaya hasa kwenye kupenda Masifaaa...!!!!!
 
Back
Top Bottom