Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Sio kwa mshangao huo, naona umeshangaa kinyaki kabisa.Heeee!!!!View attachment 729342
Sio kwa mshangao huo, naona umeshangaa kinyaki kabisa.Heeee!!!!View attachment 729342
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] tambarare kwa Yesu tambarareee..Nyakyusa Women are very hard working and kind japo wanapenda sana Ubabe!
Wako open minded sana japo hawana breki mdomoni teh teh teh teh..
Ukioa kwao hesabu kwamba ndiyo umeingia kwenye familia hivyoo, mashemeji watakuchukulia kama Kaka yao mkubwa.
Wakiwa na tatizo la kifamilia wala hawatakuficha watakwambia kwa uwazi kabisaa. Mwisho kabisaa wanapenda sana watoto wao, huwezi kuta mwanamke wa kinyakyusa kazaa mtoto wake halafu kamtupa hata wajomba na mama mkubwa huwa hawawezi waacha kabisa (wachache sana huwa wanafanya hivi hasa hawa wa siku hizi). Hawana tofauti kubwa sana na Wahaya hasa kwenye kupenda Masifaaa...!!!!!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] tambarare kwa Yesu tambarareee..
Tambarare kwa Yesu tambarareee...aaaaa tambarareee[emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445]
Kama huyu.Wazee wa Swagger za maajabu ajabu kwenye Picha..!
Hahaha!Hivi kwanini wanapenda Ubabe sana ??
Halafu wengine wanajichumbuaa kweli...!
Hapo wanaume wavivu wengi wanalalamika sana sana!
Bwahahahahaa hebu waacheni mashemeji zangu bwanaa!
Upatikanaji wa cream wanazotumia zipo jirani na kinchi wanachopakana nacho, maana nao hawajambo kwa kudeki nyuso..Sijui wameambukizwa kutoka huko!
Kyela weupe, asili yao, halafu wazuri.Hivi kule Kyela nako kuna watu weupe ??
Bwahahaha, you kidding filthy..!Weupe wananuua bwana!
Hahaha!
Asili ya rangi zao ni nyeusi, labda tu wale wa Kyela ndo wana asili ya weupe, naona chanzo cha kujicream ni vile wanatamani kuwa na rangi ya mtume, halafu
Upatikanaji wa cream wanazotumia zipo jirani na kinchi wanachopakana nacho, maana nao hawajambo kwa kudeki nyuso..Sijui wameambukizwa kutoka huko!
Basi kwa mwanamke wa kinyakyusa akiwa na pesa halafu rangi yake bado nyeusi atazodolewa huyooo, anakuwa na pesa lakini anashindwa kutakata [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] maana wanawake wa kinyakyusa wanajua kuongea kama wazaramo, tofauti yao wanawake wa kinyakyusa hawamsengenyi mtu, wanakupa ya uso live.
Kwa upande wa ubabe nahisi miili yao inawabeba, maana ukikuta mwanamke pande pande kweli.
Wanaume kulalamika ni kweli, labda ni vile wanakuwa washazoea kuwa chini kwa wake zao.
Bwahahahaa, wazuri nakubali.Kyela weupe, asili yao, halafu wazuri.
[emoji2] [emoji2] [emoji38] , mbona washika shavu?
Weupe, ingawa sio wote.Bwahahahaa, wazuri nakubali.
Lakini weupe..nakataaa kabisa labda awe amechanganyika.
Nakumbuka nimekaa sehemu moja Panaitwa NGONGA wengi wao ni weusi.