Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakika BAK.... Nawe upo hivyo?[emoji125] [emoji125] [emoji85] [emoji85] [emoji125]
Binti, unauliza majibu kwenye exam isiyo na questions...Jidamke [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
IMG_20180206_065552_580.jpg
 
Mi huwa napenda tu kuwachemsha makamanda. Huwa hawakawii kuripuka wakiona umehoji wakisemacho hata uwe mpole namna gani. Wanapigania uhuru wa kujieleza lakini hawataki kusikia mawazo kinzani na dodosi kuhusu hoja zao. Huwa nafurahia sana japo nikiona moto unaelekea kwenye ban huyooo nateleza zangu kiaina na kuwaacha wakiendelea kufoka na kutunisha mifupa ya shingo huku mapovu yametapakaa kila kona. Pathetic !!!
Hahahahaha pasaka njema sana mkuu ujumbe mzuri
 
Back
Top Bottom