Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utafiti wa Stanley Milgram.


Baada ya vita vya pili vya dunia, Stanley Milgram aliamua kufanya utafiti wa kutaka kufahamu ni kwanini wanajeshi wa Nazi walikuwa wanatenda ukatili kipindi cha Utawala wa Nazi na alipenda kufahamu je Utawala wa Nazi unahusika vipi katika kuwafanya wawe wakatili.
 
Aliwachukua watu waliojitolea kufanya jaribio na kuwaambia wabonyeze switch ya umeme wenye nguvu kubwa kwa mwenzao. Asilima 65% ya walioambiwa walionyesha kweli kutaka kufanya hivyo lakini waliobakia walikataa kwani waliona watamuua mwenzao.
 
Njia kati ya neno na azimio ni ndefu. Mtu apimwe kwa matendo yake. Wakati wake hali ilikuwaje? Ni kweli anayoyasema aliyatenda? Kuna watu wengi ndugu zao walifia kizuizini na wengine kupotea mpaka leo kisa tu walijaribu kutofautiana naye kihoja. Mimi pia mjomba wangu mwanajeshi wa cheo cha juu tu alipotea mpaka leo hatujui aliko kisa tu alihisiwa kuhusika na kasheshe fulani. Tuache unafiki !!!
Hakuna aliyemkamilifu
 
26341531_922239727937664_7405814324695924736_n.jpg
 
Back
Top Bottom