Porn star? Hao tunawaachia akina Trump mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inategemea...mkuu, we huna kumbukumbu za ulipo kua na miaka 4/5???
Hapana nami nilikuwa nauliza swali maana sijaona Leo tunagonga Nyama na majackDaniel kama kawaidaNipe fungu mkuu. Na liwe kwenye Agano Jipya...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona tabia walishindana Mkuu hivyo kilammoja kushika 50 zake. Nadhani yule mrembo kaolewa sasa mila sina hakika ya 100% na tangu wakati ule kuna movie yake moja iliflop vibaya sana jamaa kaamua kujichimbia.
Sijui kwa kweli kama Imani au ni tibaNi kweli aisee anaweza kuishia kuwa dunya/*****, lakini hii kitu inaponya kweli au ni hadithi za mitaani tu?
Hahahaha! Ya mazeriUmenitoa KO Pyaar. Bakhari ndiyo nini?
Salama mzee za kwako?Habari za usiku huu
Wakerewe hatuna hasira hivyoWeee! Wana hasira hao
Na porn star utamfanya nini? Alishavurugwa na kupambana na masaksafoni ya kila aina...Inahitaji uzoefu Mkuu lol! hahahahahaha.
Humu ni post na likes tu mkuuKumbe hum hamna madada? ety
MhhhhhNo! It gets worse. Kitimoto nasukumizia na wine. Nyama nakula. Na kulewa nalewa. Mbunye tu ndo haipo otherwise ningekuwa na perfect trifecta...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
HahahahahaInahitaji uzoefu Mkuu lol! hahahahahaha.
Hahahahaha usiogope mkuuPorn star? Hao tunawaachia akina Trump mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe kwa kfup nimebug?Humu ni post na likes tu mkuu
Jokes kwa sana,elimu kwa Sana ,michezo kwa sana ,muziki kwa sana
Word hahahahaaMi huwa napenda tu kuwachemsha makamanda. Huwa hawakawii kuripuka wakiona umehoji wakisemacho hata uwe mpole namna gani. Wanapigania uhuru wa kujieleza lakini hawataki kusikia mawazo kinzani na dodosi kuhusu hoja zao. Huwa nafurahia sana japo nikiona moto unaelekea kwenye ban huyooo nateleza zangu kiaina na kuwaacha wakiendelea kufoka na kutunisha mifupa ya shingo huku mapovu yametapakaa kila kona. Pathetic !!!
Mia mia