Jamaniiiiii...
Hilo tatizo lipo na ina semekana inatokea kwa kudondokea kitovu kwenye uume wakati kina katika.
Kuna mtu wa karibu kwenye familia yetu ilimtokea hivyo,mama alikataa kutumbukizwa kichwa cha mtoto wake. Nasikia mume wakisaidiana na bibi mtu upande wa baba walimbembeleza sana mama mtu afanye hivyo maana alikuwa ndo mtoto wao wa kwanza,mama alikataa.
Kaka yetu ulipo fika umri wa kutaka kufunua 'ufunuo' ikawa shida,kila akipaka mate kidole kilambe 'ukurasa' kidole kina kosa nguvu.
Baba mtu ikabidi amuambie ukweli, jamaa ana mchukia sana mama yake.
Kwa sasa ana watoto watatu kwa msaada wa mdogo wake.