Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Ukiamini jambo katika ubongo wako wa conscious mind moja kwa moja jambo hilo linaamia kwenye subconscious mind na kuumba jambo hilo (kukufanya uone ni kweli). Sehemu hii haijui mema wala mabaya, ukweli wala uongo na haijuhukumu unachoamini bali inatekeleza na kukufanya uamini ni kweli. Yapo mengi wanadamu wanaamini lakini hawajui kuwa mambo hayo hayapo bali imani yao ndio imewaumbia mambo hayo.

Vile vile kuna namna ya kukitupa, huwa hawakitupi hovyo...(Mila)Hata najuaga basi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila makabila mengi sana wanaamini hivyo.Ukifuatilia ule uzi utajua zaidi
Dahh!!! Wimbo huu umetoka kipindi tuna tumiana nyimbo kwa bluutusi na kwenye simu hazizidi nyimbo tatu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]No air no air try to breath again JS LoL!
Duh !!!Coffee sold in California must carry cancer warning, judge rules.
Coffee sold in California must carry a cancer warning, a court has ruled.
The judge in Los Angeles said Starbucks and about 90 other coffee sellers had failed to warn customers about a potentially toxic compound that is produced during the roasting process.
The firms were sued by a California-based non profit-group over the chemical acrylamide.
The group argued that as acrylamide is regarded as carcinogenic under state law, it should be sold with a warning.
Ruling in favour of the Council for Education and Research on Toxics, Superior Court Judge Elihu Berle said the companies should not be exempt from the law, as they had failed to prove that the "consumption of coffee confers a benefit to human health".
The companies have until 10 April to appeal the decision.
Basi sawa, kaa na kiu yako.Siutaki !!!