Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uko bomba kwenye kupanga mistari ya mashairi. Hongera sana Pyaar. Usiku mwema na njozi njema.
Hahahahaa!
Ulale salama, Mwenyezi Mungu akukarimie baraka, uamke ukiwa mwenye afya na nguvu tele, katika maandalizi ya kumlaki Bwana wetu Yesu Kristo..

Usiku wako uwe ni usiku wenye njozi njema zisizo leta karaha, kumbuka kumshukuru Mungu kuikamilisha siku na umuombe aweze kukuonesha tena siku ya kesho.. Ubarikiwe BAK.
 
Dah! Ahsante sana Pyaar tubarikiwe sote na Muumba wetu. Nawe ubarikiwe sana Pyaar.

 
Hahahahahaha starehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…