Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

29404142_186160235520907_126215924754677760_n.jpg
 
Bakayoko ametua Chelsea msimu huu akitokea Monaco ambapo Kocha Antonio Conte alilipa Pauni 40 milioni kupata huduma yake. Lakini, tangu wakati huo kuna wale wanaokosoa kiwango cha mchezaji huyo, ambaye mwanzoni mwa msimu tu alikuwa amefanyiwa upasuaji na hivyo bado hajarudi kwenye makali yake.
 
Ningependa tu kumwambia aachane na watu wanachosema kwa kuwa hakitamsaidia kitu,” alisema Gallas.

“Pengine wanaweza kuwa sahihi kwamba wanakutaka ufanye kazi zaidi, lakini usiwafanya watu wakuamrie namna ya kucheza soka. Hizo zilikuwa ndoto zake na amejitolea mechi kufikia alikofika kwa sasa.”
 
Waasi waliojihami kwa silaha wamemuua mwanajeshi mmoja baada ya kushambulia nyumba ya Rais Joseph Kabila iliyoko eneo lenye mgogoro la Mashariki ambako mapigano hutokea mara kwa mara, wanajeshi walisema Alhamisi.
 
Kabila hakuwepo kwenye nyumba hiyo wakati wanamgambo wa Mai-Mai waliposhambulia nyumba hiyo karibu na mji wa Beni na wakakabiliana na wanajeshi wa serikali waliomudu kuzima shambulio.
 
Hili ni shambulio la pili kwa nyumba za rais katika muda wa miezi mitatu jambo ambalo ni kielelezo cha kuzidi kuzorota kwa hali ya usalama nchini DR Congo kwa upande mmoja kiini kikiwa hatua ya Kabila kukataa kujiuzulu mwaka 2016 kipindi chake cha uongozi kilipoisha.
 
Nyumba hiyo inayomilikiwa na Kabila ilishambuliwa na kuchomwa moto katika jimbo na Kivu Kaskazini Desemba mwaka jana. Polisi aliuawa katika shambulio hilo.
 
Nyumba hiyo inayomilikiwa na Kabila ilishambuliwa na kuchomwa moto katika jimbo na Kivu Kaskazini Desemba mwaka jana. Polisi aliuawa katika shambulio hilo.
 
Back
Top Bottom