Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nyumba hiyo inayomilikiwa na Kabila ilishambuliwa na kuchomwa moto katika jimbo na Kivu Kaskazini Desemba mwaka jana. Polisi aliuawa katika shambulio hilo.
 
Hali ya usalama mashariki kwa nchi, eneo lililogeuka kuwa la mapigano ya kikabila, imezorota mwaka huu kutokana na mamlaka za serikali kuteleza hali iliyolazimu makumi kwa maelfu ya watu kukimbilia nchi jirani na kutishia kuivuruga nchi nzima.
 
Msemaji wa waasi wa Mai-Mai alisema wameua askari watatu katika shambulio hilo. Lakini msemaji wa jeshi la serikali amesema mmoja wa askari wao na mshambuliaji mmoja wameuawa.
 
Yego na shimba mmejikaushaa saweni tuuu na mie sitawafukuzaaa

Kuna siku ulitufukuza humu mi na Yego kikatili sana. Ngoja nilipize kisasi [emoji23][emoji23][emoji23]
20180330_184914.jpg
 
Back
Top Bottom