Salawm mkuuDakika ya 88 3-0
Habari za siku mkuu numbisaMahatma Gandhi alipigwa risasi na kufariki dunia baada ya maisha yake kumfelisha. Lakini kifo chake kiliipatia India uhuru kutoka Uingereza. Hivyo, akafanikiwa.
Heri ya pasaka mama wa BUYENZESalama kabisa BAK...Za sikukuu?
Salama kabisa,za kuadimika moudgulfHabari za siku mkuu numbisa
Njema mkuu na kwako piaKheri ya pasaka kwa wote humu
Nawakubali sanaa
Heri ya pasaka piaHeri ya pasaka wapenzi wa Mungu
Hapa kusini magharibu mwa jiji la Dar imegonga mvua ya kutosha wenyeji hapa wamefurahia hali hiyo wakisema sikuu imeenda vema kupata baraka ya mvua. Uwe na mapumziko mema mkuuHuku nilipo sikukuu imekwenda vyema kabisa, hakuna mvua zaidi ya mbwembwe za wingu nene, jeusi kutanda.
Ukimya ni ujasiri, ukimya ni sauti iumizayo, ukimya ni nguvuUkimia ni chanzo kikubwa cha nguvu”
Hapa kusini magharibu mwa jiji la Dar imegonga mvua ya kutosha wenyeji hapa wamefurahia hali hiyo wakisema sikukuu imeenda vema kwa kupata baraka ya mvua. Uwe na mapumziko mema mkuu
Ahsante ndugu.Karibu sana Mkuu. Heri ya Pasaka kwako pia Mkuu