Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Marko 16:1-7
Hata sabato ilipokwisha kupita, Mariamu, Magdalene na Mariamu mamaye Yakobo, na Salome walinunua manukato wapate kwenda kumpaka. 2 Hata alfajiri mapema, siku ya kwanza ya juma wakaenda kaburini, jua lilipoanza kuchomoza; 3 Wakasemezana wao kwa wao, ni nani atakayetuviringishia lile jiwe mlangoni pa kaburi? 4 Hata walipotazama,waliona ya kuwa lile jiwe limekwisha kuviringishwa; nalo lilikuwa kubwa mno.
5 Wakaingia kaburini wakaona kijana ameketi upande wa kuume, amevaa vazi jeupe; wakastaajabu. 6 Naye akawaambia, msistaajabu; mnamtafuta Yesu mnazareti, aliyesulibiwa; amefufuka; hayupo hapa; patazameni mahali alipowekwa. 7 Lakini enendeni zenu, mkawaambie wanafunzi wake, na Petro, ya kwamba awatangulia kwenda Galilaya; huko mtamwona, kama alivyowaambia.

****** ****** ******
Wanawake wale walikuwa na upendo, tumaini na ujasiri mioyoni mwao. Mbali na hekaheka zilizotokea usiku wa kufufuka kwa Bwana wetu Yesu kristo ikiwa ni pamoja na giza nene kutanda na kuwaogofya, lakini wanawake wale alfajiri na mapema walipata ujasiri ingawa hawakujua nani atawasaidia kuondoa lile jiwe, hawakukata tamaa wakaendelea na safari yao, walijipa matumaini.

Kuna muda tunahitaji kufanya jambo lakini tunasita kwa kuhofia kikwazo/vikwazo vilivyo mbele yetu bila kujua kuwa Bwana wetu wa mbinguni hutengeneza njia na kuyafanya magumu kuwa rahisi..
*Tusiogope
*Tusikate tamaa
*Tuwe na matumaini katika yale tuyatendayo/yatarajiwayo.
Mungu ni muweza wa yote, tukimtegemea na kumuamini anatuvusha salama.

*Vile vile tuwe na upendo na tuwasamehe wale waliotukosea, Yesu kristo baada ya kukanwa na Petro lakini aliweza kumkumbuka katika ufalme wale.
 
Otieno moro jawali lemo ochamosaho neno dhiho gethumani gija ote nemamoko,

Yesu lee, jaela Yesu oting'o twoche,
Yesu kaocho ndulwokuno msalaba giminyila

Kalivari ne gigulo lwodha Yesu ping'ilichinya ping'iling'inyi weipala welolombe.
 
FBCCCC93-17BF-42DF-9E28-4E4610B3A94A.jpeg
 
Back
Top Bottom