moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Habari yako malkia
Habari yako malkia
Kaka ake salama?Heri ya pasaka wapenzi wa Mungu
Wenga juu. Wuhuu !!!
Sijui naye tumpachike jina la nduli au dhalimu? Sijui kwa nini huwa vigumu kuona kuwa hapa panatosha sasa na mtu unaondoka kwa heshima. Kwa wanasiasa angalau naelewa lakini hata kwa mtu kama kocha ambaye tayari ni milionea? Binadamu wakati mwingine tunashangaza sana !!!Lol! Hakuna jinsi SYB huyu ni wa kufunga virago tu. Kishachokwa kupita kiasi. Washabiki wenye hasira za kufa mtu wanaweza kabisa kumdhuru.
AsanteKheri ya pasaka kwa wote humu
Nawakubali sanaa
Nimeangalia huko. Ni kazi kweli kweli. Wengine wana watoto wanne tayari. Mwingine ana miaka 22 anatafuta mhenga wa miaka 35. Yote kwa yote Mungu Awasaidie wapate wanachokitafuta. Happy Easter bageshi [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]