ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
[emoji4] me piaLoove this song
[emoji4] me piaLoove this song
Sijui naye tumpachike jina la nduli au dhalimu? Sijui kwa nini huwa vigumu kuona kuwa hapa panatosha sasa na mtu unaondoka kwa heshima. Kwa wanasiasa angalau naelewa lakini hata kwa mtu kama kocha ambaye tayari ni milionea? Binadamu wakati mwingine tunashangaza sana !!!
Demokrasia iliyokomaa. Kiwango cha chini cha ufisadi. Afrika inayong'aa. Misambwanda ya kufa mtu...
HayaaaAsante
Heri ya pasaka pia
Kwa nini iwe aibu kukaribisha wageni? Kisa makande? Yaliyokobolewa yakachanganywa na njugu mawe na karanga zilizosagwa kidogo halafu unasukumizia na maziwa mgando mbona hata huo ubwabwa hauoni ndani?Tumekula makande leo,aibu kukaribisha wageni
Swaaaafi dadake, mambo vipi.Kaka ake salama?
Mkuu kwema? Mbona umepotea hivyo?Habari yako malkia
Hahahaha jaman unawaza misambwanda tuDemokrasia iliyokomaa. Kiwango cha chini cha ufisadi. Afrika inayong'aa. Misambwanda ya kufa mtu...
[emoji1] [emoji1] mi nikaribishe nakulaga hayo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Tumekula makande leo,aibu kukaribisha wageni
Malkia wa Kibantu. Huyu namkubali aisee. Kwema sis? Mabaki ya pasaka ya Seacliff bado yapo tuje tumalizie malizie?
Hivi hata njugu mawe zatumika badala ya mandondo, sikujua.Kwa nini iwe aibu kukaribisha wageni? Kisa makande? Yaliyokobolewa yakachanganywa na njugu mawe na karanga zilizosagwa kidogo halafu unasukumizia na maziwa mgando mbona hata huo ubwabwa hauoni ndani?
Mkuu majukumu yalibana, sasa nimesharejea rasmi. Naona uzi mmeutendea haki ipasavyoMkuu kwema? Mbona umepotea hivyo?
Utaongeleaje uzuri wa Botswana usigusie misambwanda? Hii inajulikana duniani kote ohoo !!!Hahahaha jaman unawaza misambwanda tu
[emoji20] [emoji20] [emoji20]Hayaaa
Ningekualika kula saaa nisha osha hadi vyombo.[emoji1]
Hahahah nimejikuta nacheka tu hukoNimeangalia huko. Ni kazi kweli kweli. Wengine wana watoto wanne tayari. Mwingine ana miaka 22 anatafuta mhenga wa miaka 35. Yote kwa yote Mungu Awasaidie wapate wanachokitafuta. Happy Easter bageshi [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Njema mkuuHeri ya Pasaka kwako pia Mkuu.
Mama kiarieAsante
Heri ya pasaka pia
Mandondo ndiyo nini?Hivi hata njugu mawe zatumika badala ya mandondo, sikujua.
MaharageMandondo ndiyo nini?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hayaaa
Ningekualika kula saaa nisha osha hadi vyombo.[emoji1]