Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inashangaza sana maana kishachuma vya kutosha na alijitengenezea legacy nzuri sana ambayo sasa kaanza kuichafua, lakini kama owners wa team wanataka uwepo wake uendelee hakuna jinsi labda mpaka siku moja mashabiki wampe kipigo ndiyo atabwaga manyanga kuhofia usalama wake.

 
Nimeangalia huko. Ni kazi kweli kweli. Wengine wana watoto wanne tayari. Mwingine ana miaka 22 anatafuta mhenga wa miaka 35. Yote kwa yote Mungu Awasaidie wapate wanachokitafuta. Happy Easter bageshi [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahahah nimejikuta nacheka tu huko

Happy Easter too daddy ake kitoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…