Ukatafute nini na gym iko nyumbani[emoji23][emoji23]Ewaaaaaah hakuna haja ya kwendaa Gym
Kwelii eenh? Ngoja nikamtongozeShemej akifanya hivyo kila siku anazoeaaa
Washapuliza mjani haoHahahahaha lol! Hawa nao vipi? Wamepatwa na masaibu yepi!? Au ndiyo vyuma kukaza? Karibu sana kwenye uzi mwanana.
Utanipa mrejesho usije mtengua kiunoKwelii eenh? Ngoja nikamtongoze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oooh!
Mimi sio mchoyo karibu na wengine wote karibuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wooooiiii
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yeeeah!Basi meimosi[emoji5]
Cheki hapa ratiba iliyobaki kwa kila timu na wanavyotabiriwa namna watakavyomaliza msimu kwa pointi watakazovuna.
MAN UNITED
Msimamo: Nafasi ya Pili
Pointi : 65
Mechi: 30
Eee mwakan hata sio mbaliEeeeeh mkuu mpaka mwakani!!!?
Location ndo muhimuMimi sio mchoyo karibu na wengine wote karibuni
[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji9] View attachment 731618
Mwenyeji apone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu mgeni
Kweli inabidi man u wawe makin sanaMANU wakiteleza kidogo tu Liverpool wanatwaa 2nd position. Ushindani mkubwa sasa ni nafasi ya pili. Manchester City wameshatwaa taji hawana mpinzani.
Nimekuham hadi natetemeka [emoji6] [emoji6] [emoji6]Woooiii.[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Nimekuhamu[emoji7][emoji7]