Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hawa wakiwa wakubwa ndo wanaongoza kwa michepuko[emoji16] [emoji16]
FB_IMG_15224575870082319.jpg
 
Mie Mkuu nilikuwa nimefungua 2 windows kwenye PC. Sasa nikakosea zile picha zetu tamu tamu nikadhani naziweka hapa kumbe nilikuwa naziweka siasani. Kuja kustuka dakika kama 5 hivi zimepita, niliwahi kuzifuta zote zilikuwa nne au tano hivi. Ndani ya dakika 10 MODS wameshafanya yao nikala ban nadhani ya 48 hours au 72 hours.
Pole mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Afadhali sasa kitufe cha delete wamekiacha hata kwa watumiaji wa simu. Zamani ilikuwa ukikosea basi unalo....
 
Back
Top Bottom